Whatsapp yafikisha watumiaji bilioni 1 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Whatsapp yafikisha watumiaji bilioni 1

Huduma ya mawasiliano ya Whatsapp sasa inatumiwa na watu Bilioni moja kwa mwezi, kwa mujibu wa Facebook inayomiliki programu tumizi (app) hiyo.

Whatsapp imeizidi hata huduma ya mawasiliano ya Facebook inayopata watumiaji milioni 800 kwa mwezi.

Kampuni hiyo imesema ujumbe bilioni 42 na video milioni 250 hutumwa kupitia Whatsapp kila siku.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.