Video: Nape amsimamisha Mkurugenzi wa Habari na Meneja wa Vipindi TBC - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Nape amsimamisha Mkurugenzi wa Habari na Meneja wa Vipindi TBC

Bet Sasa

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye amewasimamisha kazi Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Matukio wa TBC Mbwilo Kitujime na Meneja wa Vipindi wa shirika hilo Bi. Edna Rajab na kuagiza kufumuliwa kwa idara nzima ya habari na matukio ya TBC kutokana na utendaji usioridhisha.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.