Shetta aandika hiki, Nibaada ya video ya Shika adabu yako yake Nay kutoka inayomuonyesha 'akishikwa kalio'! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Shetta aandika hiki, Nibaada ya video ya Shika adabu yako yake Nay kutoka inayomuonyesha 'akishikwa kalio'!

Video ya Shika adbu yako yakwake Nay wa Mitego imetoka nakuwekwa kwenye mitandao leo asubuhi ambapo wengi wameiongelea kwa kila mtu awazavyo. Kwenye video hiyo Nay ametumia watu mbali mbali kuonyesha matukio ambayo amekuwa akiyaimba kwenye ngoma hiyo.

Upande ambapo wengi wamezungumzia ni pale ambapo nay anamuimba Shetta nakusema kuwa gari kapewa na Chief Kiumbe huku video ikionyesh amtu akishikwa matako, Wengi wamedhani kuwa ni kweli Shetta anafanywa hivyo, Lakini kupitia account ya Shetta ya Instagram ameandika haya "Nimeangalia hii video Nimecheka sanaaa... hahahahah Wewe Nay jinga sanaaa wewe.... Kama Bado Ujaiona hii video Nenda kwenye Bio ya bwana @naytrueboy #ShikaAdabuYako #SupportOurOwn...!! #MAMBA"
Lakini katika maneno hayo aliyo yaweka, Shetta ameambatanisha na video inayo onyesha kipande hicho ambacho kinamuimba yeye kama hapo juu inavyo onekana. Kama bado hujaona video hiyo basi itazame hapa chini kisha share na wana wa Facebook, Twitter na Whats app.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.