Orodha ya vilabu vya EPL vilivyoongoza kwenye usajili katika dirisha dogo - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Orodha ya vilabu vya EPL vilivyoongoza kwenye usajili katika dirisha dogo

Bet Sasa
Jonjo Shelve amesajiliwa na Newcastle United akitokea klabu ya Swansea City.
Jonjo Shelvey amesajiliwa na Newcastle United akitokea klabu ya Swansea City.
Newcastle United imeshindwa kuinasa saini ya Saido Berahino kwenye kipindi cha dirisha dogo la usajili lakini kocha wa timu hiyo Steve McClaren amefanikiwa kuwanasa wachezaji watatu ambao ni Jonjo Shelvey, Andros Townsend na Henri Saivet na kuishuhudia klabu hiyo ikiongoza kwa kutumia kitita kikubwa cha pesa kwenye ligi kuu ya England.Newcastle imetumia kiasi cha £28.5millioni kwa usajili wa wachezaji hao watatu, wamefanikiwa pia kumnasa Seydou Doumbia kwa mkopo.
Orodha ya vilabu vilivyotumia fedha nyingi katika usajili kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.
Orodha ya vilabu vilivyotumia fedha nyingi katika usajili kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.
Newcastle imetumia kiasi cha £70m kwa ajili ya usajili wa msimu wa 2015-16 ikiwa ni kiasi kikubwa cha pesa zaidi ya klabu yeyote ndani ya Premier League.
Andros Towsand
Andros Townsend.
Kiungo wa kimataifa wa England Jonjo Shelvey amesajiliwa na Newcastle kutoka Swansea City kwa dau la £12million wakati Andros Townsend from yeye amejiunga na Newcastle United pia kwa kiasi cha £12millioni akitokea Tottenham.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.