Ni Arsenal, Manchester City, Tottenham au Leicester Ligi Kuu? - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ni Arsenal, Manchester City, Tottenham au Leicester Ligi Kuu?

Bet Sasa
Danny Welbck aliifungia Arsenal goli la ushindi dhidi ya Leicester
Danny Welbck aliifungia Arsenal goli la ushindi dhidi ya Leicester
Leicester City bado wapo kilele cha Ligi Kuu pamoja na kufungwa na Arsenal.
Harry Kane aliifungia Spurs goli la ushindi dhidi ya Manchester City
Harry Kane aliifungia Spurs goli la ushindi dhidi ya Manchester City
Tottenham imesogea alama mbili baada ya kupata ushindi dhidi ya Manchester City.
Leicester City ilishindwa kubanana mbavu na Arsenal katika dimba la Emirates
Leicester City ilishindwa kubanana mbavu na Arsenal katika dimba la Emirates
Ni alama sita tu ndizo zinazotofautisha timu nne za juu huku zikiwa zimebaki mechi 12 ligi kufikia tamati.
Kelechi Iheanacho aliisawazishia City lakini baadae ilifungwa na Spurs
Kelechi Iheanacho aliisawazishia City lakini baadae ilifungwa na Spurs
MECHI ZILIZOBAKI KWENYE TIMU ZA BIG FOUR
ARSENAL
vs Manchester United (A)
vs Swansea (H)
vs Tottenham (A)
vs West Brom (H)
vs Everton (A)
vs Watford (H)
vs West Ham (A)
vs Crystal Palace (H)
vs Sunderland (A)
vs Norwich (H)
vs Manchester City (A)
vs Aston Villa (H)
LEICESTER
vs Norwich (H)
vs West Brom (H)
vs Watford (A)
vs Newcastle (H)
vs Crystal Palace (A)
vs Southampton (H)
vs Sunderland (A)
vs West Ham (H)
vs Swansea (H)
vs Manchester United (A)
vs Everton (H)
vs Chelsea (A)
TOTTENHAM
vs Swansea (H)
vs West Ham (A)
vs Arsenal (H)
vs Aston Villa (A)
vs Bournemouth (H)
vs Liverpool (A)
vs Manchester United (H)
vs Stoke (A)
vs West Brom (H)
vs Chelsea (A)
vs Southampton (H)
vs Newcastle (A)
MAN CITY
vs Newcastle (A)
vs Liverpool (A)
vs Aston Villa (H)
vs Norwich (A)
vs Manchester United (H)
vs Bournemouth (A)
vs West Brom (H)
vs Chelsea (A)
vs Stoke (H)
vs Southampton (A)
vs Arsenal (H)
vs Swansea (A)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.