Ne-Yo Afunga Ndoa na Mchumba Wake Crystal Renay - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Ne-Yo Afunga Ndoa na Mchumba Wake Crystal Renay

Msanii wa Rnb super staa Ne-Yo amefunga ndoa na mchumba wake mwanamitindo Crystal Renay. Tukio limetokea kwenye mgahawa wa Terranea huko Rancho Palos Verdes, California jumamosi ya Feb 20 2016.
Neyo ameliambia jarida la PEOPLE “Nina shauku kubwa ya kuwa pamoja na kuishi maisha yetu pamoja, tutakuwa kama kawaida, zaidi ya marafiki”

Renay ambaye kwasasa anaujauzito wa Ne-Yo wa miezi tisa sasa na huyu ni mtoto wa tatu wa Neyo. Neyo ana mtoto wa kike wa miaka mitano ‘Madilyn Grace’ na mvulana wa miaka minne ‘Mason Evan’ kutoka kwenye mahusiano yake na Monyetta Shaw.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.