Nay Wa Mitego Asema Yupo single, Afunguka Kuhusu Chagga Baby - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay Wa Mitego Asema Yupo single, Afunguka Kuhusu Chagga Baby

Bet Sasa
Nay wa Mitego hatimaye ameweka wazi kuwa yeye na mrembo maarufu kama CHAGGA BABY ambaye alitajwa kuwa na mahusiano naye,hawapo katika mahusiano yoyote serious kwasababu bi dada huyo ratiba zake hazimruhusu kutoka nje ya marekani kwa mda mrefu ujao.

Nay amesema hawezi kusema yupo kwenye mahusiano na chagga baby kwasababu ya umbali kati yao na yeye(nay)kama mwanaume hawezi kudanganya yupo kwenye mahusiano katika hali kama hiyo.

Nay ameiambia #planetbongo yupo Single na kama kuna msichana yoyote anayejua yupo kwenye relation na yeye basi atakua anajidanganya cz yeye hayupo serious kwenye mahusiano kwasababu ya mambo aliyoyapitia hivi karibuni kwenye mahusiano yake.

Kwa sasa amesema anaconcetrate kwa watoto wake zaidi cz ndoa ni issue isiyohitaji papara. Issue ya mahusiano ya chaga baby na nay iliibuka humu IG baada ya kuvunjika kwa mahusiano yake na Shamsa ford.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.