Nay wa Mitego apost sanamu ya mimba fake na kuandika haya, Ni baada ya mimba ya Wema kupotea. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Nay wa Mitego apost sanamu ya mimba fake na kuandika haya, Ni baada ya mimba ya Wema kupotea.

Bet Sasa
Rapper Nay wa Mitego kupitia akaunti yake ya instagram amepost picha ya sanamu la mimba kama inavyoonekana hapo chini na kuandika “Eti jamani ivi zinauzwa shillingi Ngapiiiiiii?! #ShikaAdabuYako nitumie kipande unacho kipenda zaidi #ShikaAdabuYakoNay
Post hiyo imekuaje masaa kadhaa baada ya Idriss kupost kwamba mimba ya Wema imetoka na bila shaka Nay wa Mitego amepata pa kukazia ile diss yake aliyoitoa kwenye wimbo wake wa Shika adabu yako ambapo alimwonya Wema kuwa ana mimba kweli ama anatafuta kiki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.