Mwigizaji Nisha anatamani kufa ? Aomba afundishwe dua ya kifo. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwigizaji Nisha anatamani kufa ? Aomba afundishwe dua ya kifo.

Bet Sasa
nisha
Mwigizaji anayetamba kwenye tasnia ya filamu Nisha (Nisha bebe) anaonekana kuwa yuko kwenye hali mbaya kutokana na kile alichopost kwenye akauti yake ya instagram.
Kupitia akauti yake hiyo Nisha amepost picha ya maiti na kuandika maneno yafuatayo..”Naombeni mnifundishe dua ya kifo,I think ni kitu pekee nnachokihitaji ktk dunia hii Kwa sasa” bila ya kuandika kinachomsibu.
Staa huyo amewaacha mashabiki wake kwenye sintofahamu kutokana na kutojua nini hasa anachomaanisha.
Source: Instagram

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.