Mwanamuziki Mromboso Amuweka Wazi Baba yake Mzazi baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba Maromboso. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mwanamuziki Mromboso Amuweka Wazi Baba yake Mzazi baada ya Dereva Bodaboda Kujiita Baba Maromboso.

Maromboso kutoka Yamoto Band ameamua kumuonyesha baba yake Mzazi baada ya Jamaa mmoja wa Bodaboda Kujitangaza kuwa yeye ndiye Baba Maromboso, Maromboso aliposti Picha na Kuandika “Huyu Ndo Baba yangu …..Mzee Yusuph Kilungi … Sasa huyo jamaa Wa Tegua mtego ” Boda boda anayejita Baba Maromboso ajipange“

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.