Mpenzi Wa Zamani Wa Ommy Dimpoz Afunguka "Jogoo wa Ommy Dimpoz anawika" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mpenzi Wa Zamani Wa Ommy Dimpoz Afunguka "Jogoo wa Ommy Dimpoz anawika"

Baada ya diss ya Nay wa Mitego kuwa “jogoo wa Ommy Dimpoz hawiki” yaani jamaa “hapigi mechi”,mpenzi wa zamani wa Ommy Dimpoz amejitokeza hadharani na kukanusha tuhuma hizo ambazo Nay wa Mitego alimminia Ommy Dimpoz kupitia wimbo wake wa Shika adabu yako.

Mwanadada huyo ambaye picha yake akiwa na Ommy Dimpoz ilizagaa huku wakiwa wamevalia sare za shule ameweka wazi kuwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Ommy dimpoz na kuthibitisha kuwa Dimpoz alikuwa “akipiga mechi” kama kawa.

“Ni mzima kabisa,i don’t know huyu Nay anatafuta tu kiki..” alifunguka mrembo huyo ambaye kwa sasa anasema yuko kwenye mahusiano mengine.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.