Mke wa H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua mtoto wa tatu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mke wa H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua mtoto wa tatu.

Flora Mvungi akiwa hospitali
Mke wa msanii wa muziki H. Baba, Flora Mvungi anatarajia kujifungua hivi karibuni na kuipatia familia yake mtoto wa tatu.
Wana ndoa hao wenye watoto wawili, Tanzanite na Africa, wameshare picha katika mitandao ya kijamii zenye ujumbe kuhusu ugeni huo.

Kupitia instagram, H.Baba aliandika.
     "Asante mungu kwa kila jambo #watoto nifaraja nakuombea muda ukifika ujifungue salama nakupenda mke wangu (1)tanzaniteone (2)Africa (???????) . Nitafutie jina la mwanangu Wa (3) nimuite nani."

Kwa upande wa Flora Mvungi, aliandika
     "Hahahhahahahahhahaah nacheka kwa raha yaani nafuraha sana mana naona watu maneno yanawatoka kila kona..kwani kuzaa ni kosa?au kuna siku nimemuomba mtu hela ya kutunza wanangu??waja mna tabu sana,jamani hebu tusipangiane jinsi ya kuishi,,kingine siko nje ya ndoa na hata ingekuwa nje ya ndoa pia ni watoto wangu..mwakereka na nini??. Hhahaaaaaa yaani mtasema sana.."
Flora Mvungi akiwa na watoto wake


Tanzanite na Africa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.