Mimba ya Wema imetoka ? Hii hapa barua ya kusikitisha toka kwa Idris kwa mapacha wake. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mimba ya Wema imetoka ? Hii hapa barua ya kusikitisha toka kwa Idris kwa mapacha wake.

wma
Leo kupitia akaunti yake Instagram mchumba wa sasa wa mwanadada Wema Sepetu ambaye pia ni mshindi wa Big brother Africa,Idris Sultan amepost picha ya watoto wawili na kuandika waraka unaoashiria kuwa ndoto ya Wema kuwa mama imepotea.
Idiris amepost maneno yafuatayo ;
To my unborn twins,
.So quickly you came into our lives,
So quickly torn away. 
Never got the chance to meet you,
There’s so much I want to say. All these thoughts running through my head,
It’s enough to drive me insane.
Though you lived only six short weeks,
You were loved so very much. 
I wish that I could hold you,
I long to feel your touch. I pray that in another life, We get the chance to meet. God brings and takes as he plans and we cannot complain but only pray that all that was for a better reason and a better plan in store for us. We have learnt lessons painfully but wont stop trying again and again and do swear by the time your brothers and sisters are made to come to this world we will be more than ready for them.
Sincerely Your Dad. ❤️” 
akimaanisha kuwa mimba ya mpenzi wake iliyodumu kwa wiki sita huku wakitarajia mapacha haipo tena.
idris

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.