Mechi za Europa League Leo Usiku - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mechi za Europa League Leo Usiku

Nyota wa Man United wakijifua kujiandaa kupamba na FC Midtjylland leo usiku Old Trafford

Ligi ya Barani Ulaya inatarajia kuendelea siku ya Alhamisi usiku kwa kuwa na michezo kadhaa ambapo Manchester United itavaana na FC Midtjylland ya nchini Denmark.

Ratiba kamili ni kama ifuatayo;

Alhamisi Februari 25, 2016

Liverpool21:00FC Augsburg

(Agg 0-0)

Man Utd23:05FC Midtjylland

(Agg 1-2)

Tottenham23:05Fiorentina

(Agg 1-1)

L’motiv Moscow19:00Fenerbahçe

(Agg 0-2)

Rapid Vienna21:00Valencia

(Agg 0-6)

Bayer Levkn21:00Sporting

(Agg 1-0)

Schalke21:00Shakt Donsk

(Agg 0-0)

FK Krasnodar21:00Sparta Prague

(Agg 0-1)

Lazio21:00Galatasaray

(Agg 1-1)

Ath Bilbao21:00Marseille

(Agg 1-0)

Basel23:05St Etienne

(Agg 2-3)

FC Porto23:05Bor Dortmd

(Agg 0-2)

MABINGWA LIGI YA ULAYA MIAKA YA KARIBUNI

2008 winners: Zenit St Petersburg

Star man: Andrei Arshavin

2009 winners: Shakhtar Donetsk

Star man: Willian

2010 winners: Atletico Madrid

Star men: Sergio Aguero, David de Gea

2011 winners: Porto

Star men: Falcao, Nicolas Otamendi, Hulk

2012 winners: Atletico Madrid

Star men: Thibaut Courtois, Falcao, Arda Turan

2013 winners: Chelsea

Star man: David Luiz

2014 & 15 winners: Sevilla

Star men: Ivan Rakitic, Carlos Bacca

Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.