Manchester United kucheza na Liverpool Europa League - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Manchester United kucheza na Liverpool Europa League

Liverpool itapambana na mahasimu Man Utd katika hatua ya 16 Ligi ya Ulaya

Liverpool imepangwa kundi moja na mahasimu Manchester United katika hatua ya 16 ya Ligi ya Ulaya (Europa League).

Timu zote hazipo katika nne bora Ligi Kuu, ushindi wa shindano hilo utakuwa njia nzuri kwa wao kufudhu msimu ujao wa Ligi ya Mabingwa Ulaya.
United iliifunga Midtjylland 6-3 na hivyo kupangwa na Liverpool katika hatua ya 16 bora

Timu hizo zitacheza mara mbili ndani ya siku saba, mechi ya kwanza itachezwa Anfield Machi 10 na marudio yatakuwa Old Trafford Machi 17.

LIVERPOOL V MANCHESTER UNITED


Kucheza: 177

Liverpool ushidni: 60 (33.9%)

United ushindi: 72 (40.7%)

Sare: 45 (25.4%)

Magoli: 244-228

Mechi nyingine hatua ya 16 Europa League ni;

Shakhtar Donetsk v Anderlecht

Basel v Sevilla

Villarreal v Bayer Leverkusen

Athletic Bilbao v Valencia

Liverpool v Manchester United

Sparta Prague v Lazio

Borussia Dortmund v Tottenham

Fenerbahce v Braga

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.