Juma Kaseja na Mkewe Wapata Watoto Mapacha. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Juma Kaseja na Mkewe Wapata Watoto Mapacha.

Mlinda Mlango wa Klabu ya Mbeya City, Juma Kaseja na mke wake wamepata watoto mapacha.
Taarifa hiyo imetolewa na Idris Sultan aliyempongeza mchezaji huyo kwenye Instagram.

“Napenda kutoa pongezi zangu taaaaaaaaaaaaaaamuuuuu ziwaendee @official_juma_kaseja na Mkewe Nasra kwa kupata twins juzi wa kiume na wa kike,” ameandika Idris.

“Alhamdullillah mwenyezi kawaleta wazima na wazazi wote wazima nikimaanisha Nasra yupo feeshi kabisa na Juma hajazimia. Wa kiume nadhani wanapanga kumuita Idris. Allah awazidishie baraka. Sasa juma ndoto za kuota unapiga danadana acha bro Nasra kanilalamikia sana hata jana wakati nahudumia wagonjwa akanipigia nimpe moyo kua hautamshuti mtoto mmoja kama mechi ya juzi ila tuachane nayo hayo nipo shopping nanunua vitunguu jana viliisha, nanunua na karoti jamani tumpongezeni Juma sio mcheza mpira tu ila mechi zote.”

Naye Kaseja alijibu kwa kuandika: Asante sana mungu mkubwa na ndio mpangaji wa kila jambo asante mungu kwa kunipa wawili asnte IDRIS.”
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.