Jose Chameleone aonesha mjengo wake mpya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Jose Chameleone aonesha mjengo wake mpya

Bet Sasa
Jose Chameleone anazidi kuimarisha himaya yake kwa kuongeza mjengo mpya.
Muimbaji huyo wa Valu Valu ameshare picha ya mjengo wake unaomalizika hivi karibuni kwenye akaunti yake ya Facebook.

“Don’t stay home waiting for Heavens to find you in your sitting room discussing other people achievements because Miracles came like that in Jesus’s time,” ameandika kwenye picha hiyo ambapo pia anaonekana mke wake, Daniella.

“We are a generation where nothing like stones turns to bread. Young people should wise up and work so hard so their sweat bears fruits now!!!
Forget the #NIKEAIRMAGS,” ameongeza.

Hiyo inakuwa miongoni mwa nyumba kibao anazomiliki staa huyo wa Uganda.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.