Hii Ndio Barua Aliyoiandika Jackline Cliff Kutoka Gerezani Nchini China. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndio Barua Aliyoiandika Jackline Cliff Kutoka Gerezani Nchini China.


Mwanadada Jackline Cliff ni Mtanzania ambaye alikamatwa kwenye uwanja wa ndege na kufungwa gerezani huko Macao China kwa kosa la kujaribu kuingiza dawa za kulevya miaka miwili iliyopita, sasa leo kamuandikia mwandishi wa habari na Mtangazaji Millard Ayo barua ili aisome kwa Watanzania, bonyeza play kwenye hii video hapa chini.

-MillardAyo

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.