Harmonize: "Sijawahi Kutoka na Huddah Kimapenzi, Ni Rafiki Tu" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Harmonize: "Sijawahi Kutoka na Huddah Kimapenzi, Ni Rafiki Tu"

Baada ya kuwa na tetesi mitaani kuhusu mkali wa muziki kutoka WCB Wasafi "Harmonize" kutoka kimapenzi na mrembo Huddah kutoka nchini Kenya Harmonize amefunguka na kusema haya:
"Hapana bana mimi sitoki na Huddah , ni rafiki yangu alafu yupo hapa Dar kama siku nne amenitumia message asubuhi akaniambia amefika nikamwambia karibu nikawa niko busy sijaonana naye nilikuwa niko busy najiandaa kurelease wimbo"
"Nikipata muda nitaenda kuwasiliana naye kwasababu katoka kenya hajaja kwa ajili yangu pia ana mambo yake lakini pia akaona ni vizuri kuonana na mimi akatext akaniambia tuonane" Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.