Godzilla awapongeza AY na Diamond "Kupata 1 million views Ndani ya Week 1 ni Special" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Godzilla awapongeza AY na Diamond "Kupata 1 million views Ndani ya Week 1 ni Special"

Rapper Godzilla amesema si jambo la kuchukulia poa kwa AY na Diamond kuweza kuvuta views milioni moja ndani ya wiki moja.
Video hiyo ya Zigo Remix hadi sasa ina zaidi ya views milioni 2.3 ikiwa haijamaliza hata wiki tatu tangu itoke.

“You know that’s special,” Godzilla aliiambia Bongo5.

“Kupata one million views na wewe ni msanii wa hip hop that’s special. Amevunja ule ulegend, unajua Ambwene ameanza sisi wote tuko chini akina Diamond, hawajatokea akasema ‘Diamond ana kitu, natoa ego yangu let’s make money, that was the right move and I am happy for my brother, amegundua the other side like kwa sababu Ambwene ndiye amefungua watu kwenda kimataifa so he is like ‘nafanya kazi na wadogo zangu,” aliongeza Godzilla.

-bongo5

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.