Etihad na Stamford Bridge kuwaka moto wikiendi hii - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Etihad na Stamford Bridge kuwaka moto wikiendi hii

Etihad, Uwanja wa Manchester City
Ligi Kuu ya Uingereza itaendelea wikiendi hii ambapo ambapo siku ya Jumamosi Manchester City itavaana na vinara Leicester City katika dimba la Etihad.

Siku ya Jumapili inategemewa kuwa ya kipekee kwani Manchester United itashuka Stamford Bridge kupambana na mabingwa watetezi Chelsea.
Stamford Bridge, Uwanja wa Chelsea

RATIBA WIKIENDI HII

Jumamosi 6 Februari 2016

15:45 Manchester City vs Leicester City

18:00 Aston Villa vs Norwich City

18:00 Liverpool vs Sunderland

18:00 Newcastle United vs West Bromwich Albion

18:00 Stoke City vs Everton

18:00 Swansea City vs Crystal Palace

18:00 Tottenham Hotspur vs Watford

20:30 Southampton vs West Ham United

Jumapili 7 Februari

16:30 Bournemouth vs Arsenal

19:00 Chelsea vs Manchester United

Muda wote ni kwa saa za Afrika Mashariki

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.