Eric Omondi Amvisha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake wa Kutoka Italia. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Eric Omondi Amvisha Pete ya Uchumba Mpenzi Wake wa Kutoka Italia.

Siku ya Valentine imekuwa ya pekee kwa watu wengine na wengine inawezekana ikawa ni siku ya maumivu, Lakini kwa mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya yeye imekuwa ya pekee baada ya kumvisha pete ya uchumba Chantal Grazioli aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu.

Akiiba maujanja kutoka kwenye baadhi ya filamu zakimahaba, Erick Omondi alionekana kwenye fukwe ya bahari nakuamua kutupa nanga kumtaka mpenzi wake huyo awe mchumba wake na baadaye ndoa. Hizi hapa picha.

-tubongetz

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.