Dogo Janja Anakuletea Wimbo Mpya Hivi Karibuni. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dogo Janja Anakuletea Wimbo Mpya Hivi Karibuni.

Baada ya siku chache zilizo pita kuwa na taarifa huenda Tip Top ikampa adhabu Dogo Janja baada ya maneno aliyo kuwa akiongea na mrembo mmoja hivi katika sim maongezi hayo kunaswa na Madee aliseama huo ulikuwa ni utoto tu ambao bado unamsumbua ila kalenda ya Tip Top mwezi wa pili ni wa Dogo Janja kutoa wimbo,mambo yameshaanza kunukia.
dogo_janja

Kupitia akaunti yake ya Instagram Janja amepost picha yake iliyoandikwa “Mtazidi Kupenga Kisa Stress Mpaka totoro“

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.