Dj D-Ommy Anakuletea The Valentine Heartfelt Mixx Vol 3 | Download - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Dj D-Ommy Anakuletea The Valentine Heartfelt Mixx Vol 3 | Download

Kama utakumbuka mwaka jana ilitoka "THE VALENTINE HEART FELT MIXX Vol.2" sasa huu ni muendelezo wa ya mwaka jana yanii Vol.3. Ni Mixing ya nyimbo kali za mapenzi kutoka katika kila pembe ya Dunia. Na hii ni mahususi kwa ajili ya siku ya Wapendanao yanii Valentine Day. Ukiwa Home,Njiani unarudi au unaenda kwenye mihangaiko, Chuo-Hostel,Peke yako au na Baby Number One wako au na washkaji tu fanya kudownload na kuskiza Mixx hii.Nakuahidi hautajutia hasa katika weekend hii ya Malavidavi.
Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

1 comment

Peter Richard said...

N sheeedah aisee! Ila itapendeza sana kama dj d ommy akafanya mix tape nyingne akiwa na dj zero

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.