Diamond Platnumz kuachia video mpya wiki hii, kaa mkao wa kula ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Diamond Platnumz kuachia video mpya wiki hii, kaa mkao wa kula !

Mkali wa muziki Tanzania Diamond Platnumz anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya siku yoyote ndani ya wiki hii.
Ametangaza habari hiyo kupitia mtandao wa Twitter.
Hajasema ni video ya wimbo upi lakini kuna uwezekano mkubwa ikawa ni video ya wimbo aliofanya na AKA mwishoni mwaka jana. Video ya wimbo huo ilifanyika nchini Afrika Kusini.

Wakati huo huo Diamond na mashabiki wake wote wa WCB wamebadilisha profile picture zao na kuweka rangi nyekundu. Haijulikani inamaanisha nini lakini wanatukumbusha jinsi Tidal ya Jay Z ilivyozinduliwa na mastaa wakubwa wakiwemo Nicki Minaj, Beyonce, Usher na wengine kuweka picha za rangi ya blue bahari.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.