Davido kutoa pesa kwa shabiki kama asante kwa kusheherekea dili lake la Sony - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Davido kutoa pesa kwa shabiki kama asante kwa kusheherekea dili lake la Sony

Staa wa muziki anaye fanya vizuri kutoka Nigeria Davido atatoa Naira milioni 2 kwa shabiki kama sehemu ya kusheherekea dili lake la Sony la dola milioni moja.
Davido ambaye kwa sasa yupo mjini New York ameahidi kufanya sherehe mbili kubwa kama asante kwa mashabiki kwa dili lake la Sony Music na kuumpa naira milioni 2 shabiki wake wa ukweli.
” Doin two signing parties in Nigeria when I get home … I’m giving my most loyal fan 2 MILLION NAIRA !! “

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.