Davido Alimlipa Meek Mill "Million 400" Kufanya Nae Collabo, Soma Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Davido Alimlipa Meek Mill "Million 400" Kufanya Nae Collabo, Soma Hapa

Davido amefanya mahojiano na jarida la mashuhuri la uingereza la FADER lililopewa tittle ya “How Davido Became African Pop Music’s Fortunate Son”.
Moja ya mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na album yake mpya ‘Baddest’ ambapo amesema hadi sasa ametumia zaidi ya dolla Million 1 ambazo ni sawa Billion 1 za Bongo.
Pia amezungumzia collabo yake na rapper wa Marekani, MeekMill ‘Fans Mi’ CEO huyo wa HKN amesema alimlipa MeekMill dolla 200,000 ambazo ni sawa na Million 4,36,640,000 za Kitanzania.
Pia Msanii huyo wa Nigeria amesema huwa analipwa $50,000 hadi $70,000 kwa ajili ya kutokea tu kwenye private party.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.