Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Chelsea Yaifanyia Kitu Mbaya Manchester City Darajani


Timu ya Chelsea ya Uingereza imetinga hatua ya robo fainali katika mashindani ya Emirates FA Cup baaada ya kuilaza timu ya Manchester City Mabao 5-1

Magoli ya Chelsea katika mchezo huo yalifungwa na wachezaji Diego Costa, Willian borges, Gary Cahill, Eden Hazard, na bao la tano lilifungwa na mchezaji Bertrand Traore dakika ya 89 ya mchezo. Bao la Manchester City lilifungwa na mchezaji David Faupala.
Mechi hizo za Robo Fainali zitachezwa wikiendi ya Machi 11 na 14 mwaka huu. Huku Arsenal watarudiana na Hull City kusaka hatua ya Robo Fainali, baada ya sare ya 0-0 Uwanja wa Emirates juzi, wakati Shrewsbury Town wataikaribisha Manchester United leo Jumatatu uwanja wa New Meadow kuanzia Saa 4:45 usiku.

ROBO FAINALI KOMBE LA FA ENGLAND
Reading Vs Crystal Palace
Everton Vs Chelsea
Arsenal/Hull City Vs Watford
Shrewsbursy Town/Man Utd Vs West Ham


Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.