AUDIO: Sauti ya Dongo Janja Akimtongoza Msichana Yavuja, Alichoongea Ni UTATA. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

AUDIO: Sauti ya Dongo Janja Akimtongoza Msichana Yavuja, Alichoongea Ni UTATA.

Msanii wa kundi la Tip Top maarufu kama Dogo Janja amenaswa akimtongoza binti mmoja na kufunguka maneno kibao yenye utata.
Ni zaidi ya mwaka mmoja tangu Dogo Janja arudi kwenye kundi la Tip Top Connectionhuku wengi wakisubiri ujio wake mpya akiwa na kundi lake hilo. Hivi leo sauti ya Dogo Janja Akimtongoza Msichana Na Kufunguka yote kuhusu Tip Top Connection imevuja na kunyakwa, amefunguka mengi kuhusu maisha yake na kudai "kubaniwa" .
Unaweza kusikiliza hapo chini.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.