Aguero atajwa Mchezaji Bora Januari - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Aguero atajwa Mchezaji Bora Januari

Sergio Aguero ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Januari
Sergio Aguero ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Januari
Mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero ametajwa kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi Januari Ligi Kuu.
Mchezaji huyo wa Argentina alifanya vizuri wakati Blues ilipocheza mechi nne bila kufungwa na kupanda hadi nafasi ya pili.
Aguero alifunga magoli matano na kusaidia timu yake kupata alama nane katika mechi nne.
Aguero alifunga goli dhidi ya Everton na kuifanya klabu yake kutinga fainali ya Kombe la Ligi Wembley
Aguero alifunga goli dhidi ya Everton na kuifanya klabu yake kutinga fainali ya Kombe la Ligi Wembley
TUZO YAMCHEZAJI BORA WA MWEZI
Agosti
Andre Ayew (Swansea City)
Septemba
Anthony Martial (Manchester United)
Oktoba
Jamie Vardy (Leicester City)
Novemba
Jamie Vardy (Leicester City)
Desemba
Odion Ighalo (Watford)

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.