Zari "Mtukaneni Tu Tiffah Lakini Siku Moja Atakuja Kuwa Rais Wenu" - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Zari "Mtukaneni Tu Tiffah Lakini Siku Moja Atakuja Kuwa Rais Wenu"

1390136_571461176335149_767535782_n
Watu hawana haya – Kwa mujibu wa Zari the Bosslady, baadhi yao wamekuwa wakimporomoshea matusi mtoto wake aliyezaa na Diamond, Tiffah tangu alipozaliwa.
Lakini Zari ana habari kwa haters! Mrembo huyo wa Uganda anaamini kuwa siku moja watamheshimu mtoto wake sababu anamlea aje kuwa rais kama Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia!
10724204_805703839540696_697843755_n
“Matusi from day one even before she was born,” ameandika Zari kwenye Instagram.
“But she is here and strong enough to handle. Boss ladies use bricks thrown at them to build empires. And this right here is my future president in the making #IronLady #EllenJohnsonSirleaf #Kichuna @princess_tiffah.”

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.