Wolper Akiri Kujipendekeza Kwa Diamond, Zari - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wolper Akiri Kujipendekeza Kwa Diamond, Zari

BAADA ya kupata wakati mgumu wa kushambuliwa na maneno kila akiweka picha mtandaoni ya Diamond ama Zari, staa wa filamu Bongo, Jacqueline Walper ‘Wolper’ ameweka wazi kwa kuwajibu, haoni tatizo kujipendekeza kwa hao watu.
Akichezesha taya na Amani, Wolper alisema kuwa, ilifika kipindi katika ukurasa wake wa Instagram watu wengi walikuwa wakimshambulia kwa maneno na kufikia hadi hatua ya kumtukana.
“Kiukweli mimi ni binadamu, nashangaa ukiweka picha ya mtu ooh, anajipendekeza ni sawa najipendekeza ndiyo na wala siyo uongo lakini kuna mtu ambaye inamuhusu?” Alihoji Wolper.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.