Wema Sepetu na Idris Ndani Ya Ala Za Roho Ya Clouds Fm. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu na Idris Ndani Ya Ala Za Roho Ya Clouds Fm.

Idris na Wema 
Wapendanao hawa wanaochukua vichwa vya habari kila kona ikiwemo pia mitandao ya kijamii leo wamekuwa ndani ya Studio za Clouds Fm kwenye kipindi cha Ala za Roho na Wema Sepetu kudhibitisha kuwa ana ujauzito  "Mimba yangu ina miezi miwili na kama wiki kadhaa hivi " Wema Sepetu 
Kesho tutakupa full stori...endelea kukaa nasi kwa stori za mastaa unaowapenda.

Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.