Wema Sepetu na baby wake "Idris" waonyeshana Mahaba LIVE...Jionee Hapa - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Wema Sepetu na baby wake "Idris" waonyeshana Mahaba LIVE...Jionee Hapa

Idris na Wema Sepetu
Wapendanao hawa wanaosumbua mjini kwa sasa wakiwa kwenye pozi la kimahaba. Mambo yalizidi kunoga wakiwa kwenye interview Clouds Fm kwenye Ala za Roho na kufikia kupigana denda hadharani. Wema ambaye amethibitisha kuwa anao ujauzito wa mpenzi wake Idris anaonekana mwenye furaha zaidi kuliko siku za nyuma. 
Tazama video hapo chini ujionee.

Share na Marafiki.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.