Video: Mradi wa Tazara Flyover utakavyokuwa baada ya kumalizika. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Mradi wa Tazara Flyover utakavyokuwa baada ya kumalizika.

Video imeachiwa ikionyesha barabara ya Tazara jijini Dar es Salaam itakavyoonekana baada ya kumalizika kwa mradi wa ujenzi wa barabara za juu (flyover).

Mradi wa barabara za juu Tazara ni kwa ajili ya kupambana na msongamano wa magari ambao umekithiri katika barabara za jiji la Dar.

Mradi wa Tazara Flyover jijini Dar es Salaam Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.