Video: Hivi Ndivyo Shilole na Nuh Mziwanda Walivyokutanishwa Clouds Tv Bila Kujijua. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Video: Hivi Ndivyo Shilole na Nuh Mziwanda Walivyokutanishwa Clouds Tv Bila Kujijua.

Bet Sasa
Weekend iliyopita kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV kilijaribu kuwakutanisha Shilole na aliyekuwa boyfriend wake, Nuh Mziwanda kwa lengo la kutaka kuwapatanisha.

Jitihada za kuwakutanisha studio (bila wao kufahamu) zilifanikiwa, lakini lengo la kutaka kuwapatanisha liligonga mwamba, na Shilole alionekana kuchukizwa na kitendo cha kukutanishwa na ex wake bila mwenyewe kuridhia, huku Nuh alionekana kuwa tayari kile kilichokusudiwa kufanywa.

Tazama hapa kama hukupata nafasi ya kuona kipindi hicho:

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.