Tiffah Dangote Anawasumbua Watu Wengi Kweli - Wolper - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tiffah Dangote Anawasumbua Watu Wengi Kweli - Wolper

Hapa na Pale: Staa wa Bongo movies, Jacqueline Woper ambaye siku za hivi karibuni ameonekana kuwa karibu na falimila ya staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz amefunguka hayo kupiytia ukurasa wke myandaone mara baada ya kubandika picha ya mtoto Tiffah.
Wolper aliandika hivi "Tiffah Dangote..mtoto anawasumbua wengi huyu…!Naona mpk kuna wengine wanahisi wanalingana na Tiffah maana sio kwa mineno inayowatoka…Mchambo wa leo naomba unifikie mpk nilipo nilikuwa naomba mchambo upande ndege leo unifikie…Usiponifikia nilikua naomba niukatie ticket…Vyote vikishindika muende chooni mkachambe wenyewe vizuriiii…"

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.