Tayari BongoSwaggz tupo Play Store kwa ajili ya kukupa Updates mbalimbali na Burudani kibao. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Tayari BongoSwaggz tupo Play Store kwa ajili ya kukupa Updates mbalimbali na Burudani kibao.

BongoSwaggz inakuletea Application ya Android kupitia Play Store itakayokuwezesha msomaji wetu kupata habari zote na burudani kwa urahisi zaidi kila muda zinapotufikia, Tunaiongezea thamani simu yako kwa kukupa Uhuru na Uhondo mikononi mwako.
Unaanzaje kupitwa labda na stori za mastaa, udaku, muziki, videos na burudani kibao? 

Udaku na Stori za Mastaa wa bongo na nje.

Mada za Mapenzi na mahusiano.

Nyimbo Kali na MPYA 

Videos Zote Kali Na Mpya

Habari za Michezo

Habari za Siasa 

Unaweza kupata Videos zetu Youtube, Unaweza ku Search Video yoyoye Kupitia "YouTube Search" na ukapata na kuitazama. Unaweza ku SHARE App hii na marafiki wakawa Nayo na wasipitwe na mastori yote mjini,
Unaweza kubadili Theme uipendayo kutokana na rangi unayopenda.


Download App Yetu  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Time BURE Kabisa !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.