Sababu ya kipaji cha soka cha Ali Kiba kufa ni hii hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Sababu ya kipaji cha soka cha Ali Kiba kufa ni hii hapa.

Ali kiba tangu akiwa mdogo alikuwa na ndoto za kuwa mchezaji mpira maarufu Bongo.
‘’Sababu ilikuwa wimbo wangu wa Cindelela ulikuwa umehit ikabidi niachane na mpira nikaanza kupiga hela Tanzania nzima nikazunguuka,lakini kwenye mpira nilikuwa katika form,nikashindwa kuendelea nilikosa muda kabisa wa kucheza mpira,’’Kiba.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.