Rais Obama kaulizwa kwenye shindano la kuchana atashinda Kendrick Lamar au Drake? jibu lake liko hapa. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rais Obama kaulizwa kwenye shindano la kuchana atashinda Kendrick Lamar au Drake? jibu lake liko hapa.

Bet Sasa

Kendrick Lamar amepata kura ya Rais Obama baada ya kuulizwa kwenye shindano la kuchana nani atashinda kati ya Kendrick Lamar na Drake.
Rais Obama alivyoulizwa swali hili hakusita hata kidogo na kumchagua Kendrick Lamar huku akisema …
Gotta go with Kendrick, think Drake is an outstanding entertainer, but Kendrick, his lyrics… His last album [To Pimp a Butterfly] was outstanding. Best album, I think, last year.”
Wiki mbili nyuma Obama alisema kuwa wimbo wake bora wa mwaka 2015 ni wimbo wa Kendrick Lamar “How Much a Dollar Cost” na Kendrick alialikwa kwenye nyumba ya rais Obama ‘White House’ kuongelea kampeni ya elimu kwa vijana juu ya maisha bora inayofahamika kama ‘My Brother’s Keeper”.
obama
Obama pia alikubali msanii Kendrick Lamar apokee zawadi ya ufunguo wa jiji la Compton kutoka kwa Maya Aja Brown.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.