Rais Magufuli ampa shavu JK - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Rais Magufuli ampa shavu JK

Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameteuliwa kuwa mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.