Pete ya uchumba aliyovishwa Mariah Carey ina thamani ya shilingi 24,800,000,000 - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Pete ya uchumba aliyovishwa Mariah Carey ina thamani ya shilingi 24,800,000,000

Pete ya uchumba aliyovishwa Mariah Carey na mpenzi wake, James Packer ina thamani ya pauni milioni 8 ambazo ni takriban shilingi bilioni 24.8 za Kitanzania.
Mariah-Carey-James-Packer-Engaged
Fedha hiyo hata hivyo ni sawa na tone la maji kwenye ndoo kwa Packer, ambaye kwa mujibu wa Forbes ana utajiri wa dola bilioni 4.5. Ni tajiri wa nne nchini Australia.
308912C700000578-3414886-image-a-4_1453679548015 (1)
Kwa mujibu wa Daily Mail, pete hiyo ya almasi ina ukubwa unaozizidi pete za uchumba za Beyonce na Kim Kardashian zikiunganishwa pamoja.
Mariah Carey ana utajiri wa dola milioni 520.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.