New Video: Mwana FA - Asanteni Kwa Kuja - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

New Video: Mwana FA - Asanteni Kwa Kuja

Foleni kubwa ya wasanii kuachia video zao mwisho wa mwaka jana 2015, yaweza kuwa sababu iliyomfanya Mwana FA aishikilie video yake kwa muda hadi baada ya mwaka mpya licha ya kukamilika mapema.

‘Asanteni kwa kuja’ ni wimbo mpya wa rapper Mwana FA aka Binamu alioutoa mwishoni mwa mwaka jana na kwenda Afrika Kusini kushoot video yake.
Sasa the wait is over, na tayari Binamu ameachia video hiyo iliyoongozwa na Alessio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini. Itazame hapa

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.