Mrembo Nisha Atia Neno Kuhusu Penzi Lake na Baraka Da Prince. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Mrembo Nisha Atia Neno Kuhusu Penzi Lake na Baraka Da Prince.

Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo kwenye malavidavi na Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, amefunguka kuwa hajali ni wangapi wanampenda jamaa huyo kikubwa analala naye na kuamka naye.
Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa kwa kawaida tamaa kwa wanaume ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake anaangalia ni jinsi gani mwanaume huyo anavyompenda na kumjali huku akilala na kuamka naye.

-GPL

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.