Luis Suarez aweka rekodi Ulaya - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Luis Suarez aweka rekodi Ulaya

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez
Luis Suarez amekuwa mshambuliaji wa kwanza barani Ulaya kufikisha magoli 30 msimu huu wakati Barcelona ilipoifunga Athletic Bilbao 5-2 katika nusu fainali ya Copa del Rey.
Suarez akishangilia pamoja na wachezaji wenzake wa Barca
Goli lake la kipindi cha pili liliswazisha goli la Inaki Williams wa Athletic, kabla ya Gerard Pique hajafunga goli la pili kwa kicha 2-1 huku Neymar akifunga la tatu.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.