Liverpool yamnasa kinda Mserbia - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Liverpool yamnasa kinda Mserbia

Marko Grujic amekuwa mchezaji wa kwanza kutia saini chini ya kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp
Marko Grujic amekuwa mchezaji wa kwanza kutia saini chini ya kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp
Marko Grujic amekuwa mchezaji wa kwanza kutia saini chini ya kocha mpya wa Liverpool Jurgen Klopp
Marko Grujic amekuwa mchezaji wa kwanza kusainishwa na kocha wa Liverpool Jurgen Klopp baada ya kukamilika kwa uhamisho wa pauni milioni 5.1 kutoka Red Star Belgrade.
Grujic amesaini mkataba wa mpaka mwaka 2020
Grujic amesaini mkataba wa mpaka mwaka 2020Grujic amesaini mkataba wa mpaka mwaka 2020
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Serbia chini ya miaka 21 amekubali vigezo kwenye mkataba wake utakaomuweka Anfield hadi 2020 lakini hatacheza msimu huu baada ya kutolewa kwa mkopo tena Red Star.
19-year-old Grujic says: 'I want to play in front of one of the loudest set of fans in Europe at Anfield'
19-year-old Grujic says: ‘I want to play in front of one of the loudest set of fans in Europe at Anfield’
Klopp amefurahishwa kunasa sani ya mmoja ya wachezaji wanaochipukia barani Ulaya na Grujic, 19 atajiunga moja kwa moja na kikosi cha Liverpool mwezi Julai kwa ajili ya maandalizi ya ziara ya msimu.
Marko Grujic amesaini Liverpool na kurejeshwa kwa mkopo Red StarMarko Grujic amesaini Liverpool na kurejeshwa kwa mkopo Red Star
Marko Grujic amesaini Liverpool na kurejeshwa kwa mkopo Red Star

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.