Linex: ‘Mzungu’ ndiye mwanamke pekee niliyemkuta na ‘Bikira’ katika maishani yangu. - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Linex: ‘Mzungu’ ndiye mwanamke pekee niliyemkuta na ‘Bikira’ katika maishani yangu.

Bet Sasa
 
Mwanamuziki wa Bongo flava, Sunday Mjeda, ‘linex’ ameeleza kuwa tangu apate akili na kujihusisha na mambo ya mahusiano ya kimapenzi, Ex wake ambaye ni mzungu kutoka Finland ndie msichana pekee aliyemkuta ametunza usichana wake. Akizungumza katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times Fm Linex ali dai kuwa hata kuachana kwao hakukuwa kwa ugomvi bali ni kutofautiana mahitaji.
“Unajua nchi za ukanda ule wa Scandnavia wanawake wanajitunza sana, na mzungu ndiye mwanamke pekee maishani mwangu niliyemkuta na ‘Bikira’” alisema.
Amesema mara ya mwisho kuwasiliana na binti huyo wa Kizungu ni baada ya kuonekana picha za ‘ndoa’ feki kwenye mitandao ya kijamii, hali iliyomfanya binti huyo kuamini kuwa Linex ameoa.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.