Idris avunja ukimya kuhusu mimba ya Wema - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Idris avunja ukimya kuhusu mimba ya Wema


Idris Sultan katika pozi na Wema Sepetu.
Muda mfupi baada ya Gazeti la Ijumaa Wikienda kutoka na stori yenye kichwa cha habari “Who is the father (Nani baba wa mtoto?)” likiwa ndilo swali ambalo kila mdau na shabiki wa staa Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ anataka kupata jibu sahihi baada ya mrembo huyo kudaiwa kunasa ujauzito wenye zaidi ya miezi minne na wahusika wawili kutajwa ambao ni mheshimiwa mbunge na mshindi wa Big Brother Africa ‘Hot Shot’ 2014, Idris Sultan.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idris ameamua kuvunja ukimya kwa kuandika yafuatayo:

“Me and You are not the ordinary. I sleep, eat, talk and wake up to only thinking about you. As much as utadhani kuwa you are blessed to have me no no i am blessed to have you. At 1st it was weird me kuangalia ndani ya kabati langu kuona nguo zako na viatu au ukiwa unaongea na mimi unaniambia vitu kama “Hivi baby unahisi akiwa wa kiume utafanyaje maana naona umekazana na wa kike” au ukiingia jikoni kwangu and take over my house with good food.
The way you look at other women wakinisogelea, how you always know when i need a kiss or a tight hug. The way you force me kuangalia Disney channel, how you wake up early these days to make me breakfast. I might bring you the most beautiful rose flower in the world and it will never look even half as beautiful as you are. When you’re jealous unasonya sonya, when am jealous i smile. I would move mountains and planets just to make you happy. I will protect you, love you, spoil you, fight with you, cook with you, watch movies together, drive at night for no reason, sit with you and just stare at the stars.
You’re more than i ever asked for, you’re my everything “My Wife”.

Alimaliza kuandika staa huyo wa BBA na kuzidi kuacha maswali kibao kuwa ni nani hasa mhusika wa ujauzito wa mrembo huyo?

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.