Hii Ndio Gari Anayomiliki Shikorobo Master " Shetta " - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndio Gari Anayomiliki Shikorobo Master " Shetta "

Shetta ni miongoni mwa wasanii wachache wanaotembelea gari za kifahari Bongo.
Muimbaji huyo wa Shikorobo anatembea Land Rover Discovery.
Akizungumza kwenye kipindi cha E-Newz cha East Africa Television Jumatatu hii, Shetta alisema kwa sasa hataki kusema chochote kuhusiana na chuma hicho hadi baadaye.
“Sitaki kuzungumzia suala la gari, acha sasa hivi iende ende kwanza,” alisema.
Diamond, Nay wa Mitego, Wema Sepetu, AY na wengine ni miongoni mwa mastaa wenye magari ya kifahari.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.