Hii Ndio Collabo MPYA Ambayo Diamond Platnumz Ameshirikishwa ! - BongoSwaggz.Com

Advert

Breaking News

Hii Ndio Collabo MPYA Ambayo Diamond Platnumz Ameshirikishwa !

akotheekenya-ft-diamond-playnumz-
Msanii Akothee kutoka Kenya wiki hii anaachia Collabo ambayo amemshirikisha Diamond Platnumz kutoka hapa Tanzania.
Katika Mtandao wa Instagram Akothee ameandika “Feel it, it’s finally here! Brand new single by Kenyan musical sensation Akothee titled Sweet Love , featuring The Tanzanian Music star , Diamond Platnumz debuts Friday , 15 January 2016.stay logged in for details, Don’t miss it @diamondplatnumz @i_am_godfather @mikedube01“.
Collabo hii inategemewa kutoka tarehe 15 mwezi huu, ungana nami hapahapa kuwa wakwanza kuitazama siku hiyo.

Download App Yetu MPYA  >> BOFYA HAPA << Tukutumie Habari na Burudani Zote FASTA Kila Siku !

No comments

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI.